Ugali wa Rowe unapata umaarufu mkubwa siku hadi siku, magharibi mwa Tanzania na nchi za Rwanda, Burundi na Congo. Maelezo ya picha, Ugali huu ni biashara inayopata ...
Ugali wa udaga ni moja kati ya vyakula vinavyopewa heshima ya namna yake kwenye jamii ya Wasukuma nchini Tanzania. Udaga ni mchanganyiko wa unga wa mahindi na muhogo ...