UKIANGALIA msimamo wa Ligi Kuu Bara hivi sasa unapendeza. Naam! Kupendeza huko ni kutokana na timu zote 16 shiriki hakuna ...
WAKATI vigogo wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), Simba Queens, Yanga Princess na JKT Queens zikiwania nafasi ya kuchukua ubingwa, ...
Katika idadi hiyo Simba inaongoza kwa kushinda mara nne na Yanga ikipata ushindi mara tatu na mara nne zikienda sare lakini kizuri kwa Yanga ni ku... OKTOBA 18 uwanja wa taifa Dar es Salaam kutawaka ...
Vigogo vya ligi kuu ya Tanzania bara Simba,Yanga na Azam vimeibuka na ushindi katika michezo yao ya mzunguko wa pili. Yanga wakicheza katika uwanja wa Taifa waliwachapa Tanzania Prisons kwa mabao 3-0, ...
Jkt Queens ndio mabingwa wa Ngao ya Jamii kwa Wanawake Msimu wa 2025/26 baada ya kuwanyuka wapinzani wao wa jadi, Simba Queens Bao 2-1 katika fainali na kutwaa taji hilo kwa mara ya pili mfululizo.
Mtifuano wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara unaendelea leo Mei 5 kwa Mchezo mmoja katika hatua ya lala Salama Wekundu wa Msimbazi Simba wanakibarua kigumu ugenini dhidi ya Maafande JKT Tanzania. Simba ...
Baada ya Yanga kuchanja mbuga kuelekea ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara, sasa ni wazi vita ipo kati ya Simba na mabingwa watetezi, Azam FC ya kugombania nafasi ya pili. Azam imekumbwa na droo tatu ...